Nguzo tano za Kiislamu zimeanzia na Neno la Tawhiyd:
عن أبي عَبْدِ الرَّحْمنِ عَبْدِ اللهِ بنِ عُمَرَ بنِ الخَطابِ رَضيَ اللهُ عنهُما قال: سَمِعْتُ رسُولَ الله صلى الله عليه وسلم يقولُ: (( بُنَي الإسلامُ على خَمْسٍ : شهادَةِ أَنْ لا إلهَ إلا اللهُ وأَنَّ محمَّداً رسولُ اللهِ، وإقَامِ الصَّلاةِ، وإيتَاءِ الزَّكاةِ، وحَجِّ البَيْتِ، وصَوْمِ رَمَضَانَ )).
Kutoka kwa Abu ‘Abdir-Rahmaan ‘Abdullaah bin 'Umar bin Al-Khattwaab (Radhwiya Allaahu ‘anhumaa) ambaye amesema: Nilimsikia Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: ((Uislamu umejengwa kwa nguzo tano: Kushuhudia na kukiri kwamba kuwa hakuna Mola mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah na Muhammad ni Rasuli wa Allaah, na kusimamisha Swalaah, na Kutoa Zakaah, na kuhiji katika Nyumba (Makkah) na Swawm Ramadhwaan)). [Al-Bukhaariy na Muslim]
0 comments:
Post a Comment