25-Ukitaka Mapenzi Ya Allaah, Thibitika Katika Tawhiyd July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Kumtii Allaah amri Zake, kumpwekesha bila ya kumshirikisha ni katika dalili za kumpenda Allaah na kupata mapenzi Yake pia. Waumini wa kikw...
24-Wanyama Na Alivyoumba Allaah Vinathibitisha Tawhiyd July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Hud-hud (ndege) alikuwa miongoni mwa jeshi la Nabiy Sulaymaan (‘Alayhis-Salaam). Aliporuka na kufikia mji wa Sabaa alikuta watu huko wanaa...
23-Anayethibitisha Tawhiyd Ataepushwa Na An-Naar (Moto) Siku ya Qiyaamah July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Hadiyth ya Anas bin Maalik (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: مَا مِنْ أَحَدٍ...
22-Tawhyd Ni Sharti Ya Kuingia Jannah July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhwiya Allaahu ‘anhu) kwamba Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema: ((لاَ يَدْخُلُ الْجَنَّةَ إِل...
21-Tawhiyd Ni Sharti Ya Kupata Shafaa’ah Ya Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Sharti la kwanza kuweza kupata Shafaa’ah Siku ya Qiyaamah ni kuthibitisha Tawhiyd. Hadiyth ya Abu Hurayrah (Radhwiya Allaahu ‘anhu) ambaye...
20-Tawhiyd Inamuepushia Mtu Majanga Na Balaa July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Majanga na balaa yanaondoshwa kwa Tawhiyd, na ndio maana du’aa za kuepushwa na hayo zimekuwa kwa Tawhiyd, na du’aa ya Nabiy Yuwnus (‘Alayh...
19-Tawhiyd Ni Bora kuliko Mali Na Starehe Za Dunia, Neno La Tawhiyd Ni Zito Siku ya Qiyaamah July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Makafiri Quraysh wa Makkah walitaka kumpa Rasuli (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) mali na starehe za dunia, walitaka kumpa che...
18-Kunyooka Katika Tawhiyd Ni Sababu Ya Kupata Husnul-Khaatimah July 15, 2017 Add Comment Tawheed Edit Muislamu anapothibitika katika iymaan na taqwa, hubashiriwa Jannah wakati anapofikwa na mauti: Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Anasema: ...